Mjini tunapendeza kwa madaha na mazagazaga mengi ila nyumbani shughuli hatunayo! Uchafu umeenea kila sehemu na kuna shombo linaloweza kuwafufua mitume! Ishi upendavyo.. zaidi ya yote sana, ndani ya uwezo wako kiuchumi! -OJ Kulali
Published On: May 27th 2019, Monday @ 12:00:57 PM
Total Number of Views: 140
Categories: Inspirational
📬 Daily Quote Inspiration
Get a beautiful, inspiring quote delivered to your inbox every morning
✓ Free ✓ No spam ✓ Unsubscribe anytime
Join 1,000+ quote lovers!